TatuMzuka | Home \
Title
Tatu Mzuka Maswali

Cheza TatuMzuka
TATU MZUKA Maswali

S/N Swali Jibu
1 Jinsi ya kucheza TatuMzuka
  1. Nenda kwenye Mfumo wa Pesa kwenye simu yako, Chagua Lipia Bili kisha namba ya kampuni weka 555111
  2. Kwenye namba ya kumbukumbu, ingiza namba zako Tatu za bahati kuanzia 0-9 zikifuatiwa na neno WEB, mfano 637 WEB
  3. Ingiza kiasi chochote cha fedha kama dau lako. Unaweza kuweka kiasi chochote kuanzia Sh 500 hadi 30,000
2 Nawezaje kuingia kwenye Jackpot? Habari, Kila unapocheza unapata nafasi moja ya kuingia kwenye Jackpot. Ahsante
3 Nimepatia namba zote lakini nimepewa mara mbili ya dau langu Nenda kwenye Mfumo wa Pesa kwenye simu yako, Chagua Lipia Bili kisha namba ya kampuni weka 555111
4 Baada ya namba zangu tatu naandika nini? Habari, Unatakiwa kuandika neno au kituo ambapo umesikia au kuona Tangazo la Tatumzuka. Ahsante
5 Kwanini ujumbe wa Tatumzuka unachelewa kunifikia baada ya kucheza? Habari,Ujumbe wa Tatumzuka utachelewa kukufikia kutokana na mtandao kuzidiwa kugawa ujumbe kwa wachezaji wote wa lisaa husika, lakini bashiri zako zinatufikia na ikitokea umeshinda utapokea pesa yako kama kawaida. Ahsante
6 Je natakiwa kucheza namba za bahati hizo hizo pekee bila kubadili. Habari, Unaweza kubadili namba za bahati kila unapocheza Tatumzuka. Ahsante
7 Naweza kucheza mara ngapi kwa siku Habari, unaweza kucheza mara nyingi kadri uwezavyo kila baada ya dkk 10 siku nzima. Ahsante
8 Je naweza kujua nina point ngapi hadi sasa Habari, Bahati nasibu ya TatuMzuka huchezeshwa kwa kutumia namba za bahati pamoja na tiketi na sio point. Ahsante
9 TatuMzuka itaisha lini? Habari, TatuMzuka ni mchezo wa bahati nasibu endelevu na hauna kikomo. Ahsante
10 Mwisho wa kucheza ni saa ngapi? Habari, TatuMzuka huchezwa kwa saa 24 siku nzima. Ahsante
11 Je napataje namba za bahati? Habari, Pangilia namba zako kwa kukisia kichwani kuanzia 0 mpaka 9 ili kubahatisha namba za ushindi. Ahsante
12 Nimecheza mara nyingi lakini sijawahi kushinda kwanini? Habari, Ili kushinda unapaswa kulinganisha namba za ushindi zote tatu kwa mpangilio au kulinganisha namba mbili kati ya Tatu za ushindi. Ahsante
13 Kwanini mtu asiongezewe kiwango kama atafananisha namba zote tatu lakini hazipo kwenye mpangilio? Habari, Ni utaratibu ili upate mara 100 ya pesa lazima namba zako za bahati zifanane sawa kwa mpangilio na namba za ushindi wa lisaa husika. Ahsante