Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kupitia Vodacom,Halotel,Tigo na Airtel Chagua namba 3 kuanzia 0 hadi 9 katika mpangilio wowote na uweke dau la chini Tzs 500. Ni Rahisi tu! Linganisha namba na ushinde hadi mara 200 ya dau na TatuMzuka! Na kwa kila Tzs 500 unayotumia inakuapa nafasi ya kuingia kwenye droo ya wiki ya Mzuka Jackpot ambapo unaweza kushinda hadi 10,000,000
Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kwa Tigo, Vodacom, Airtel & Halotel
Shinda hadi Mara 200 ya dau lako
- Bonyeza *150*00#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu(namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
- Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
- Bonyeza *150*01#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
- Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
- Bonyeza *150*88#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 4 Bahati nasibu
- Chagua namba 2 TatuMzuka
- Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500 - 30,000
- Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
- Bonyeza *150*60#
- Chagua namba 5 (Lipia Bili)
- Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
- Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
Rahisi! Utapokea tiketi yako kupitia ujumbe mfupi wa maandishi.
Linganisha namba 2 au 3 bila mpangilio au 3 kwa mpangilio na ushinde kati ya Tzs 1000 na Tzs
6,000,000.
Utapokea ujumbe mfupi baada ya ushindi, na pesa ya ushindi italipwa moja kwa moja kwenye akaunti
yako ya tigopesa, Airtel Vodacom au Halotel.