TatuMzuka

Bahati nasibu ya namba tatu

Cheza ushinde hadi mara 200 ya dau lako

Chagua namba 3 kuanzia 0 hadi 9 na ulipe kupitia simu yako. Namba ya kampuni 555111.

Jinsi ya kuchezaMzuka Jackpot

Wachezaji wa TatuMzuka wakifurahia ushindi kwenye simu

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kwa Tigo, Vodacom, Airtel & Halotel

M-Pesa (Vodacom)

M-Pesa (Vodacom)

Bonyeza *150*00#

  1. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  2. Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni (555111)
  3. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati, mfano 123)
  4. Weka kiasi cha dau unalotaka kuingiza, shilingi 1,000 - 30,000
  5. Ingiza namba yako ya siri, bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
Tigo Pesa

Tigo Pesa

Bonyeza *150*01#

  1. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  2. Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni (555111)
  3. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati, mfano 123)
  4. Weka kiasi cha dau unalotaka kuingiza, shilingi 1,000 - 30,000
  5. Ingiza namba yako ya siri, bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
HaloPesa (Halotel)

HaloPesa (Halotel)

Bonyeza *150*88#

  1. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  2. Chagua 4 Bahati nasibu
  3. Chagua namba 2 TatuMzuka
  4. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati, mfano 123)
  5. Weka kiasi cha dau unalotaka kuingiza, shilingi 1,000 - 30,000
  6. Ingiza namba yako ya siri, bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
Airtel Money

Airtel Money

Bonyeza *150*60#

  1. Chagua namba 5 (Lipia Bili)
  2. Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni (555111)
  3. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati, mfano 123)
  4. Weka kiasi cha dau unalotaka kuingiza, shilingi 1,000 - 30,000
  5. Ingiza namba yako ya siri, bonyeza OK kuthibitisha muamala wako

Rahisi! Utapokea tiketi yako kupitia ujumbe mfupi wa maandishi. Linganisha namba 2 au 3 bila mpangilio au 3 kwa mpangilio na ushinde kati ya Tzs 1,000 na Tzs 6,000,000. Utapokea ujumbe mfupi baada ya ushindi, na pesa ya ushindi italipwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa, Airtel, Vodacom au Halotel.

Shinda mamilioni - Mzuka Jackpot, Jumatano saa 3 usiku

Mzuka Jackpot kila Jumatano

Kila Jumatano saa tatu usiku kuna droo ya Mzuka Jackpot. Kila unapocheza unapata nafasi ya kuingia kwenye Jackpot.

Soma zaidi