Tunapenda ufurahie mchezo wetu wa TatuMzuka kila unapocheza na tungependa uzingatie yafuatayo
-
Anza kwa kujiwekea kikomo cha kununua, kubahatisha na hata kupoteza kabla ya kuanza kucheza mchezo wa kubahatisha,
na kila mara angalia fedha na muda unaotumia. -
Hakikisha fedha unayotumia kucheza kwa ajili ya kubahatisha ni ile ambayo unamudu kuipoteza.
-
Hakikisha fedha unayotumia kucheza mchezo wa kubahatisha inakuwa ndani ya bajeti yako ya kujiburudisha katika wiki.
-
Hakikisha fedha unayotumia kucheza kwa ajili ya kubahatisha ni ile ambayo unamudu kuipoteza.
-
Hakikisha fedha unayotumia kucheza mchezo wa kubahatisha inakuwa ndani ya bajeti yako ya kujiburudisha katika wiki.
-
Usitumie fedha za kulipia bili za nyumbani au kodi ya nyumba kuchezea mchezo wa kubahatisha.
-
Ufikirie mchezo wa kubahatisha kama aina ya burudani, siyo kama njia ya kujipatia fedha.
-
Usicheze mchezo wa kubahatisha kama una huzuni au unakabiliwa na maudhi-- uwezo wako wa kuamua unaweza usiwe mzuri
endapo utakuwa na msongo wa mawazo au unayezidiwa na hisia. -
Usicheze kama haupo sawa kiakili kutokana na sababu yoyote ile au kwa kushawishiwa na pombe.
-
Usicheze kama ukicheza unasababisha muingiliano na majukumu yako ya kila siku.
-
Jiwekee uwiano mzuri wa kucheza na utekelezaji wa majukumu yako mengine. Ikiwa mchezo wa kubahatisha unakuwa kitu pekee cha kukuburudisha, inakuwa haina maana kwamba unacheza kubahatisha ili kujifurahisha.
-
Hakikisha mchezo wa kubahatisha siyo kitu pekee cha kukupa burudani. Usicheze kama lengo lako la kwanza ni kurejesha fedha ambazo uliliwa.
-
Kama unaamini mchezo wa kubahatisha unaathiri maisha yako badala ya kuwa kitu cha kukuburudisha, tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kukusaidia.
-
Tupigie simu ya huduma kwa mteja namba 0659 070 070 na uombe msaada wa kutoka kwenye huduma.
-
Vinginevyo, unaweza kuamua kuweka kikomo cha kiasi cha fedha unachotumia kila mwezi na tutakuweka kwenye huduma ya kukuzuia kutumia zaidi.