Huduma kwa Wateja

Tafadhali wasiliana na timu yetu kupitia barua pepe [email protected]

Pia unaweza kututumia ujumbe kwa Facebook kwa jina @tatumzuka au kupitia ukurasa wetu wa Facebook.

Nambari ya simu : 0659 070 070


Tatu Mzuka ni mchezo wa kulinganisha namba unaobadilika ambapo mshiriki anachagua namba 3 za bahati kuanzia 0-9.

Namba za ushindi zinachaguliwa na mfumo wa kitaalamu uitwao RNG ( Random Number Generator ) ambao umethibitishwa na kuhalalishwa na Bodi Taifa ya Michezo ya Kubahatisha (GBT). Mfumo wa RNG unatoka katika Taasisi kinara ulimwenguni iitwayo GLI (Gaming Laboratories International) inayoongoza katika kutoa na kuthibitisha huduma kwa kampuni 65 zinazoongoza katika michezo ya bahati nasibu kidunia na kuaminiwa na mamlaka zaidi ya 475 Duniani.

Baada ya kuchagua namba zako 3 za bahati na kiwango cha fedha unachotaka kucheza, utapokea ujumbe wa uthibitisho kuonyesha kwamba upo kwenye droo inayofuata