Jinsi ya Kuongeza pesa TatuMzuka Tanzania kwa Tigo, Vodacom, Airtel & Halotel
Ongeza kadri uwezavyo

- Bonyeza *150*00#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu 9999
- Weka kiasi cha pesa unachotaka kuongeza kati ya shilingi 500-30,000
- Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako

- Bonyeza *150*01#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu 9999
- Weka kiasi cha pesa unachotaka kuongeza kati ya shilingi 500-30,000
- Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako

- Bonyeza *150*88#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 4 Bahati nasibu
- Chagua namba 2 TatuMzuka
- Ingiza namba ya kumbukumbu 9999
- Weka kiasi cha pesa unachotaka kuongeza kati ya shilingi 500-30,000
- Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako

- Bonyeza *150*60#
- Chagua namba 5 (Lipia Bili)
- Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu 9999
- Weka kiasi cha pesa unachotaka kuongeza kati ya shilingi 500-30,000
- Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
Rahisi! Utapokea tiketi yako kupitia ujumbe mfupi wa maandishi.
Linganisha namba 2 au 3 bila mpangilio au 3 kwa mpangilio na ushinde kati ya Tzs 1000 na Tzs
6,000,000.
Utapokea ujumbe mfupi baada ya ushindi, na pesa ya ushindi italipwa moja kwa moja kwenye akaunti
yako ya tigopesa, Airtel Vodacom au Halotel.