Tatumzuka | Home
Title

Bonyeza batani ya weka pesa kuona hatua za kuweka pesa kwenye akaunti yako!

Weka pesa

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kwa Tigo, Vodacom, Airtel & Halotel

Shinda hadi Mara 200 ya dau lako

Play Tatumzuka with airtel
  1. Bonyeza *150*00#
  2. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  3. Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
  4. Ingiza namba ya kumbukumbu(namba zako 3 za bahati Mfano 123)
  5. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
  6. Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
Play Tatumzuka with mtn

  1. Bonyeza *150*01#
  2. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  3. Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni(555111)
  4. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
  5. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
  6. Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
Play Tatumzuka with mtn
  1. Bonyeza *150*88#
  2. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  3. Chagua 4 Bahati nasibu
  4. Chagua namba 2 TatuMzuka
  5. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
  6. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500 - 30,000
  7. Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
Play Tatumzuka with airtel

  1. Bonyeza *150*60#
  2. Chagua namba 5 (Lipia Bili)
  3. Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
  4. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
  5. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
  6. Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako

Rahisi! Utapokea tiketi yako kupitia ujumbe mfupi wa maandishi.
Linganisha namba 2 au 3 bila mpangilio au 3 kwa mpangilio na ushinde kati ya Tzs 1000 na Tzs 6,000,000.
Utapokea ujumbe mfupi baada ya ushindi, na pesa ya ushindi italipwa moja kwa moja kwenye akaunti
yako ya tigopesa, Airtel Vodacom au Halotel.